This archive report was first published on 12 July 2020.
Maafisa wa Idara ya Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI) wamewakamata washukiwa wawili wa kigaidi katika eneo la Kapsaret, Kaunti ya Uasin Gishu, mnamo Julai 12, 2020.
Washukiwa hao walipatwa na vifaa vya kutengeneza bomu na kwa sasa wanazuiliwa.
Wakati wa operesheni hiyo, wawili hao walipatwa na vilipuzi na fusi za usalama, na kwa sasa wanazuiliwa huku uchunguzi zaidi ukiendelea kiufanywa na idara hiyo.
Wakati wa operesheni hiyo, wawili hao walipatwa na vilipuzi na fusi za usalama, na kwa sasa wanazuiliwa huku uchunguzi zaidi ukiendelea kiufanywa na idara hiyo.
Washukiwa hao walipatwa na vifaa vya kutengeneza bomu. Picha: DCI.