Skip to main content

Afisa wa Polisi Ashambuliwa na Wakazi Akitekeleza Agizo la Kuvaa Maski

N

Nyakundi Report

Newsroom 1 min read

This archive report was first published on 11 July 2020.

Maafisa wa polisi wamekuwa wakitumia fursa ya kuvalia maski kuhangaisha wananchi na kupokea rushwa, huku wakishia kuwatupa ndani.

Maafisa kutoka kituo cha Stapol walizuru eneo la tukio na kuthibitisha mwathiriwa alikuwa afisa wa polisi ambaye anahudumu katika kituo cha polisi cha Tononoka.

Alitambuliwa kama Gerald Sumba mwenye umri wa miaka 31, na alikimbizwa katika hospitali ya Coast General ambapo anazidi kupokea matibabu huku uchunguzi ukianzishwa.

Wizara ya Afya ilitangaza ni lazima kwa kila mmoja kuvalia maski akiwa katika maeneo ya umma ili kudhibiti maambukizi ya virusi ya corona.

Maafisa wengine wamekuwa wakitumia fursa hiyo kuwahangaisha wananchi na hata kupokea rushwa huku wakitishia kuwatupa ndani.

Maafisa walizuru eneo la tukio na kuthibitisha mwathiriwa alikuwa afisa wa polisi ambaye anahudumu katika kituo cha polisi cha Tononoka.

Be the first to react

Support

Support this reporting

M-Pesa support recorded against this story.

Send support →

Stay close

Get the briefing

Major updates by email. No spam.

Get email brief →

Share

Save share card

Download a clean portrait card for sharing.

Save image →