This archive report was first published on 10 July 2020.
Aliyekuwa waziri wa Michezo Rashid Echesa amekuwa akihusishwa na sakata mbali mbali, ikiwamo ile ya tenda feki ya silaha za kijeshi iliyohusisha afisi ya Naibu Rais William Ruto.
Polisi walitwaa magari ya Echesa pamoja na bunduki mwezi Februari mwaka huu baada ya kufanya oparesheni nyumbani kwake mtaani Karen.
Aliyekuwa mkuu wa usalama katika afisi ya DP Ruto Kipyegon Kenei aliuawa kwa kuguswa na Echesa alidaiwa kuwahadaa wawekezaji kutoka ughaibuni kuwa anaweza kuwasaidia kupata tenda ya kuwasilisha silaha kwa idara ya jeshi.
Imebainika kuwa Echesa alikuwa akihusishwa na sakata ya utoaji wa tenda feki kwa wawakezaji kutoka nje.
Imeagizwa kwa DCI kuwachilia bunduki na gari la Echesa baada ya Mahakama ya Juu kusema hakuna sababu ya DPP kutaka kuendelea kuzuilia mali hiyo.
Imeagizwa kwa DCI kuwachilia bunduki na gari la Echesa baada ya Mahakama ya Juu kusema hakuna sababu ya DPP kutaka kuendelea kuzuilia mali hiyo.