This archive report was first published on 9 July 2020.
Maafisa wa afya wa kaunti ya Bomet wamewaweka watu 80 karantini baada ya jamaa wao mmoja kuhitimika kuwa na virusi vya corona.
Watu hao ni wa familia moja ambapo jamaa wao mmoja alithibitishwa kuwa na virusi vya corona mnamo Jumatano, Julai 8, eneo la Konoin.
Maafisa wa afya wa kaunti ya Bomet wamewaweka watu 80 karantini kutokana na hofu ya kusambaa kwa virusi vya corona.
Waziri wa Afya Mutahi Kagwe alitangaza visa vipya 447 vya COVID-19 na kufukisha idadi ya wagonjwa kugonga 8, 975 mnamo Julai 9.
Idadi ya walioambukizwa virusi vya corona nchini Kenya ikikaribia 10,000.