Skip to main content

Ndungu wawili waacha majirani midomo wazi kwa kupigania mke wa mtu

N

Nyakundi Report

Newsroom 1 min read

This archive report was first published on 9 July 2020.

Wakazi wa eneo la Yatta waliachwa midomo wazi baada ya ndugu wawili kutandikana Makonde wakibishania demu aliyeolewa na jamaa mwingine kijijini.

Malofa hao walikuwa wakimyemelea demu lakini aliwapuuza na kuolewa na jamaa mwingine.

Wawili hao walijibizana kwa muda mrefu, na hasira zao ziliwapanda hadi kufikia hatua ya kurushiana cheche za mananeo.

Wakasameheana na hata kukumbatiana baada ya kupata msomo hasira zao zilishuka chini.

Walipokuwa wanapigania, rafiki yao aliyekuwa karibu alikuwa akiwazushia na kuwazidisha, na kusema, "Wacheni vita. Siijawahi ona wanaume sampuli yenu. Demu mnayepigania tayari amechukiliwa na anaishi kwake."

Be the first to react

Support

Support this reporting

M-Pesa support recorded against this story.

Send support →

Stay close

Get the briefing

Major updates by email. No spam.

Get email brief →

Share

Save share card

Download a clean portrait card for sharing.

Save image →