Skip to main content

Safaricom: Huduma za M-Pesa Kutatizika Kwa Muda

N

Nyakundi Report

Newsroom 1 min read

This archive report was first published on 9 July 2020.

Safaricom itakuwa ikiboresha mfumo wake wa M-Pesa kuanzia Alhamisi Julai 9 hadi Ijumaa Julai 10, 2020. Huduma za M-Pesa zitakarabatiwa kwa muda wa saa tano usiku hadi saa kumi na moja asubuhi.

Wateja hawataweza kupokea kutuma, kupokea pesa wala kununua mjazo wakati wa kuboreshwa kwa mfumo huo.

Maabara ya Safaricom ilisema kuwa huduma zote za M-Pesa, ikiwemo ununuzi wa mjazo wa simu, zitakarabatiwa kwa ajili ya kuboresha mfumo wake.

Wateja hawataweza kutuma wala kupokea pesa wakati wa kuboreshwa kwa mfumo huo.

Maabara ya Safaricom ilisema kuwa shughuli hiyo imepangwa kufanyika katika muda huo ili wateja wengi wasitatizike katika biashara zao.

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia [email protected] au WhatsaApp: 0732482690.

Be the first to react

Support

Support this reporting

M-Pesa support recorded against this story.

Send support →

Stay close

Get the briefing

Major updates by email. No spam.

Get email brief →

Share

Save share card

Download a clean portrait card for sharing.

Save image →