Skip to main content

Faida 10 za Kiafya za Tikitimaji

N

Nyakundi Report

Newsroom 2 min read

This archive report was first published on 9 July 2020.

Tikitimaji: Tunda la Kiafya

Wakati wa kula tikitimaji, unapata protini, Calcium, Phosphorus, Iron, Vitamin A, B6, C, Potasium, Magnesium, Carotene, fati, nyuzinyuzi (fiber), na madini mengineyo. Hii husaidia kuongeza nguvu za kupambana na maradhi na kukuondoa katika hali hatari.

Virutubisho vya tikitimaji pia husaidia kupunguza shinikizo la damu na kuzuia saratani. Vitamini C, kwa mfano, husaidia kuboresha kinga, kuponya majeraha, kukinga uharibifu wa seli, kuboresha afya meno na fizi.

  • Huondoa sumu katika mwili: Tikitimaji lina Vitamin C ambayo husaidia kuboresha kinga, kuponya majeraha, kukinga uharibifu wa seli, kuboresha afya meno na fizi.
  • Husaidia kupunguza shinikizo la damu: Virutubisho (lycopene) vinavyopatikana kwenye tikiti maji ni mahususi kwa ajili ya moyo pamoja na mishipa yake.
  • Huzuia saratani: Kwa mujibu wa Taasisi ya Kitaifa ya Sratani (NCI), radikali huru mwilini zinaweza kuwa chanzo cha badhi ya saratani.
  • Husafisha figo: Tikitimaji lina uwezo wa kusaidia kuondoa maji yasiyofaa mwilini kupitia mkojo bila ya kufanyiza figo kazi nzito.
  • Husaidia kuregesha maji yaliyotoweka mwilini: Asilimia 92 la tunda hili ni maji ambayo mara nyingi ni chaguo zuri kwa wagonjwa wenye upungufu wa maji mwilini.
  • Husaidia kupunguza unene: Tikitimaji lina kiwango kidogo sana cha kalori lakini lina kiwango kikubwa cha maji.
  • Husaidia kudumisha afya ya macho: Ndunda hili ni chanzo kizuri cha vitamini.
  • Husaidia kuponesha vidonda: Tikitimaji husaidia afya ya ngozi kwa kuwa lina vitamini A na C.

Published on July 9, 2020.

Be the first to react

Support

Support this reporting

M-Pesa support recorded against this story.

Send support →

Stay close

Get the briefing

Major updates by email. No spam.

Get email brief →

Share

Save share card

Download a clean portrait card for sharing.

Save image →