Skip to main content

DP Ruto asisitiza kuwa vita dhidi ya COVID-19 ni vya kila Mkenya

N

Nyakundi Report

Newsroom 2 min read

This archive report was first published on 8 July 2020.

Naibu Rais William Ruto ametoa wito kwa Wakenya kuchukua jukumu la kibinafsi kukabiliana na msambao wa coronavirus baada ya nchi kufunguliwa.

Alisema hili ni njia pekee ya kushinda janga la COVID-19.

Aliongea wakati wa mkutano na viongozi wa makanisa nyumbani kwake mtaani Karen mnamo Jumanne, Julai 7.

Alisema kwamba kila Mkenya lazima azingatie maagizo ya serikali ya kudhibiti msambao.

Maagizo hayo ni kama vile kunawa mikono, kutumia vieuzi, kuzingatia usafi wa hali ya juu katika mazingira, kuepuka misongamanamo ya watu na kuepuka kusafiri ovyo ovyo.

Naibu Rais alisema kwamba hili sasa sio jukumu la maafisa wa usalama tena wala miundombinu ya hospitali zetu bali ni mambo ya kawaida sisi kama Wakenya tutajihusisha nayo ambayo yatatusaidia kushinda changamoto hii ambayo imetukumba.

Alisema hili ni kwa sababu kila Mkenya lazima azingatie maagizo ya serikali ya kudhibiti msambao.

Maagizo hayo ni kama vile kunawa mikono, kutumia vieuzi, kuzingatia usafi wa hali ya juu katika mazingira, kuepuka misongamanamo ya watu na kuepuka kusafiri ovyo ovyo.

Naibu Rais aliongea wakati wa mkutano na viongozi wa makanisa nyumbani kwake mtaani Karen mnamo Jumanne, Julai 7.

Alisema kwamba kila Mkenya lazima azingatie maagizo ya serikali ya kudhibiti msambao.

Maagizo hayo ni kama vile kunawa mikono, kutumia vieuzi, kuzingatia usafi wa hali ya juu katika mazingira, kuepuka misongamanamo ya watu na kuepuka kusafiri ovyo ovyo.

Be the first to react

Support

Support this reporting

M-Pesa support recorded against this story.

Send support →

Stay close

Get the briefing

Major updates by email. No spam.

Get email brief →

Share

Save share card

Download a clean portrait card for sharing.

Save image →