This archive report was first published on 6 July 2020.
Madagascar ilikuwa na visa vichache vya ugonjwa wa corona, lakini kwa sasa idadi hiyo imeongezeka kwa kasi.
Julai 4, nchi hiyo ilirekodi visa 216 vya maambukizi ya virusi hivyo baada ya watu 675 kufanyiwa vipimo.
Uwezekano wa kuzipatia dawa ya kutibu ugonjwa wa corona ulikuwa ni kipengele muhimu cha sera ya nchi hiyo, na Rais Andry Rajoelina alikuwa amedai kuwa amepata dawa ya kutibu ugonjwa wa corona.
Shirika la afya ulimwenguni, (WHO), lililitilia shaka dawa hizo licha ya nchi hiyo kushinikiza kuwa zinaponya virusi hivyo.
Madagascar imekuwa ikirekodi visa vichache vya ugonjwa wa corona, lakini kwa sasa idadi hiyo imeongezeka kwa kasi.
Julai 4, nchi hiyo ilirekodi visa 216 vya maambukizi ya virusi hivyo baada ya watu 675 kufanyiwa vipimo.