This archive report was first published on 5 July 2020.
Wasichana wengi wa shule wamebeba ujauzito katika kijiji cha Ithanga, kaunti ya Murang'a, kama ilivyotajwa na Sabina Chege, mwakilishi wa kina mama wa kaunti hiyo, ikiondoa msichana wa miaka 9.
Msichana huyo ni mmoja wa wasichana wa shule ambao wamebeba ujauzito katika kijiji kimoja, kwa kujumuisha Ithanga, ambacho kimeathirika pakubwa.
Waziri wa Elimu Profesa George Magoha amekuwa akilaumu wazazi kwa kushindwa kuwalinda wanawe, huku Chege akisema kwamba wote waliohusika kimapenzi na watoto hao wa shule ni lazima wachukuliwe hatua za kisheria.
"Tutahakikisha kuwa visa vyote vya ubakaji vilivyoripiotiwa vimefika mahakamani na tufuatilie ili walioathirika wapate haki," alisema Sabina.
Waziri wa Elimu George Magoha amekuwa akilaumu wazazi kutokana na kuongezeka kwa visa vya watoto wajawazito, huku akisema kwamba ni wajibu wa wazazi kuhakikisha watoto wao wanawajibika vilivyo kipindi hikli ambapo wako nyumbani kutokana na Covid-19.