Skip to main content

Balozi wa Sudan Kusini Ameachwa na Fedheha Baada ya Kujisaidia Mbele ya Watumizi wa Zoom

N

Nyakundi Report

Newsroom 1 min read

This archive report was first published on 5 July 2020.

Balozi wa Sudan Kusini Ameachwa na Fedheha Baada ya Kujisaidia Mbele ya Watumizi wa Zoom

Video iliyotolewa kwenye mtandao wa kijamii inaonyesha Balozi wa Sudan Kusini, Gordon Buay akikimbia chooni mkutanoni wa Zoom. Video hiyo ilizua msisimko kwenye mtandao jamii huku wengi wakishikilia kwamba alikuwa mlevi na kupelekea kupotoka kinidhamu.

Video hiyo ilikuwa inaonyesha mkutano wa Zoom uliofanyika mnamo 2020-07-05, ambapo Balozi Buay alikuwa akijisaidia mbele ya watumizi wa Zoom. Alionekana akielekea bafuni bila kuvalia chochote ila shati nyeupe.

Wakati huo, waliokuwa wamehudhuria walikuwa na sintofahamu ya namna balozi huyo alianika uchi wake akiwa katika mkutano muhimu. Mmoja wa waliohudhuria alisema, "Nafikiri wahitaji kumzima Balozi Gordon Bouy, naamini ni yeye ndiye anapiga kelele,".

Video hiyo ilizua msisimko kwenye mtandao jamii huku wengi wakishikilia kwamba alikuwa mlevi na kupelekea kupotoka kinidhamu. Hii si kwa mara ya kwanza kwamba balozi huyo amejiaibisha kupitia mkutano mtandaoni.

Awali, TUKO.co.ke iliripoti kuhusu mwanamke mmoja ambaye aliwachwa na aibu baada ya mume wake kujitokeza wakati wa mkutano wake kupitia Skype akiwa amevalia suruali ya ndani.

Be the first to react

Support

Support this reporting

M-Pesa support recorded against this story.

Send support →

Stay close

Get the briefing

Major updates by email. No spam.

Get email brief →

Share

Save share card

Download a clean portrait card for sharing.

Save image →