Skip to main content

West Ham Yasajili Hostoria ya Kuchapa Chelsea Nyumbani na Ugenini

N

Nyakundi Report

Newsroom 1 min read

This archive report was first published on 2 July 2020.

West Ham Yasajili Hostoria ya Kuchapa Chelsea Nyumbani na Ugenini

Matumaini ya Chelsea ya kumaliza miongoni mwa vilabu nne bora ilizimwa Jumatano, Julai 1, 2020, baada ya West Ham United kushinda 3-2 katika mchezo wa Ligi Kuu.

Mechezo ulishuhudia Chelsea wakipiga hatua mbili kutoka nyuma lakini walizidiwa na presha ya wenyeji.

West Ham ilikaribia kufungua ukurasa wa mabao katika dakika ya 13, lakini shuti ya Michail Antonio ilikuwa rahisi kwake Kepa kudaka.

Awamu ya pili iliwashudia mabarubaru ya David Moyes wakiongoza katika dakika ya 51 huku Antonio akibadilisha matokeo kuwa 2-1 na bao lake la karibu.

Willian aliwasawazishia wenyeji wa London magharibi dakika ya 74 kwa kumalizia vyema free kicki na kufanya matokeo kuwa 2-2.

Pointi hizo tatu zilitosha Hammers kuepuka hatari ya kubanduliwa.

Wageni walidhania wamefikia kilele cha mchezo lakini Andriy Yarmolenko alipiga msumari wa mwisho kwa kuvurumisha kombora lililomshinda Kepa kupangua.

Ushinde huo katika uwanja wa London unawaacha vijana wa Frank Lampard wakishikilia nafasi ya nne lakini na pointi tano tu mbele ya Man United ambao wameridhika na nafasi ya tano.

West Ham kwa sasa wamechapa Chelsea nyumbani na ugenini huku Hammers wakijiepusha na hatari ya kubanduliwa ligini.

Be the first to react

Support

Support this reporting

M-Pesa support recorded against this story.

Send support →

Stay close

Get the briefing

Major updates by email. No spam.

Get email brief →

Share

Save share card

Download a clean portrait card for sharing.

Save image →