Skip to main content

Kihika akashifiwa na viongozi wa dini kufuatia mswada wa uavyaji mimba

N

Nyakundi Report

Newsroom 1 min read

This archive report was first published on 2 July 2020.

Kihika akashifiwa na viongozi wa dini kufuatia mswada wa uavyaji mimba

Seneta Susan Kihika alikuwa katika kipindi cha kukosolewa kwa viongozi wa dini wa Kiislamu na Kikristo baada ya kutoa mswada wa kutatanisha wa uzazi unaopigiwa debe.

Wakizungumza jijini Nairobi, viongozi hao walitaja matokeo ya hivi karibuni ambayo yalifichua kuongezeka kwa visa vya mimba za mapema nchini na kusema kuwa hiyo ilikuwa sababu moja ya kuupinga mswada huo.

"Mswada huo unampa kila mtu haki ya kufanya maamuzi kuhusu uzazi, ikiwemo watoto, bila kuzingatia idhini ya wazazi au walezi wao," alisema Hassan ole Naado, mwenyekiti wa kitaifa wa Baraza Waislamu wa Kenya (SUPKEM).

Wakizungumza jijini Nairobi, viongozi hao walitaja matokeo ya hivi karibuni ambayo yalifichua kuongezeka kwa visa vya mimba za mapema nchini na kusema kuwa hiyo ilikuwa sababu moja ya kuupinga mswada huo.

Wakitoa wito kwa maseneta wanaomheshimu Mungu kuutupilia mbali mswada huo ambao walisema una mapendekezo yasiyoambatana na maadili ya Muumba.

Be the first to react

Support

Support this reporting

M-Pesa support recorded against this story.

Send support →

Stay close

Get the briefing

Major updates by email. No spam.

Get email brief →

Share

Save share card

Download a clean portrait card for sharing.

Save image →