Skip to main content

Mwimbaji Betty Bayo akiri alijichubua ngozi kwa ajili ya mapenzi

N

Nyakundi Report

Newsroom 1 min read

This archive report was first published on 1 July 2020.

Msanii wa nyimbo za injili Betty Bayo alikuwa tayari kufanya kwa ajili ya mapenzi, na alifichua hayo hilo katika ujumbe mrefu aliouchapisha katika ukurasa wake wa Instagram.

Bayo alisema alimuenzi sana mpenzi wake, ambaye aliahidi kumuoa iwapo angekuwa mweupe.

Alisema alimpa mtihani mwingine ambaye alisema iwapo ataupita basi watafunga harusi, na baada ya kumuhadaa, jamaa alimtema baadaye na kumwacha akiwa amechanganyikiwa.

Bayo aliwashauri vijana kutofanyia miili yao mabadiliko sababu ya mapenzi kwani hilo huenda likawaacha na majuto siku za usoni.

Aliahidi kuwafunza wanawe kumheshimu licha ya uhusiano wao kukatika, na aliafadhalisha wanawe kuwa na baba mwenye utata kuliko kutokuwa na baba kabisa.

Bayo alikuwa tayari kusherehekea aliyekuwa mumewe pasta Victor Kanyari na kusema alikuwa baba mzuri kwa wanawe ila hakuwa mume mwema.

Be the first to react

Support

Support this reporting

M-Pesa support recorded against this story.

Send support →

Stay close

Get the briefing

Major updates by email. No spam.

Get email brief →

Share

Save share card

Download a clean portrait card for sharing.

Save image →