Skip to main content

Washukiwa Wawili Waliomulikwa kwenye CCTV Wakimwibia Jamaa Kimabavu Wanaswa

N

Nyakundi Report

Newsroom 1 min read

This archive report was first published on 30 June 2020.

Washukiwa wawili walinaswa kwenye CCTV mnamo Alhamisi, Juni 2, 2020, kwenye barabara ya Lenana, baada ya kutekeleza uhalifu wa kuwamia jamaa kimabavu.

Polisi walianzisha uchunguzi kuhusiana na kisa hicho na kisha kuwakamata Jumatatu, Juni 29, 2020.

Washukiwa waliokamatwa ni mwanamke ambaye alikuwa akiishi na washukiwa hao mtaani Pangani, pamoja na Ali Musa, maarufu Ally, na Humphrey Minyata, maarufu 'baba', na Timothy Jahan Muzami, maarufu 'Timo', ambaye alionekana kwenye kamera akimgonga mwathirika na bastola kwenye paji la uso.

Maafisa wa DCI walisema waliwapata washukiwa hao na simu, kipakatalishi miongoni mwa bidhaa zingine ambazo inaaminika waliwapokonya waathiriwa.

Washukiwa hao waliwakamata makachero kutoka kituo cha polisi Kilimani Jumatatu, Juni 29, 2020, kutoka mafichoni mwao mtaani Kawangware maeneo ya Gatina na Pangani.

Video iliyomwonesha jamaa akiibiwa kimabavu mchana peupe ilisambaa mtandaoni baada ya DCI kuwakamata washukiwa hao.

Be the first to react

Support

Support this reporting

M-Pesa support recorded against this story.

Send support →

Stay close

Get the briefing

Major updates by email. No spam.

Get email brief →

Share

Save share card

Download a clean portrait card for sharing.

Save image →