This archive report was first published on 29 June 2020.
Usiku wa Jumamosi, Juni 20, mwendo wa saa tatu na dakika 44, majambazi wawili waliojihami na bunduki walivamia duka la pombe mtaani Umoja, kwa kuwaonekana katika video ya CCTV.
Video hiyo inaonyesha majambazi hao wakiingia katika duka hilo la pombe na mvinyo wakiwa wamejahami na bunduki, wakiwashurutisha wauzaji katika duka hilo walale chini, na kisha kusanya kila kitu kilichokuwa ndani ya kabati la duka hilo na kuondoka.
Polisi wameanzisha kuwasaka wawili hao kulingana na ripoti ya Simon Mbugua, mwakilishi wa EALA.
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia [email protected] au 0732482690.