This archive report was first published on 29 June 2020.
Mwanahabari wa zamani wa Nation Media Group, Timothy Kemei, alikuwa katika hali nzuri kiafya kabla ya kifo chake mnamo Jumapili, Juni 28, 2020.
Alitumia kitandazi cha Twitter kumpongeza Rais wa Malawi, Lazurus Chakwera kwa ushindi wake.
Alitumia Facebook kuwakaribisha wakazi wa Kericho kujiunga naye katika kufuatialia ibada ya Jumapili ya Kanisa la African Gospel Church (AGC) Kericho.
Alikuwa mfanyakazi wa serikali wa Kaunti ya Kericho, na alikuwa na bidii na nguzo muhimu katika uongozi wake, kwa mujibu wa Gavana wa Kericho, Paul Chepkwony.
Alitumia Facebook kuwakaribisha wakazi wa Kericho kujiunga naye katika kufuatialia ibada ya Jumapili.
Alikuwa na uraibu wa kutokuwa na mapendeleo katika kuripoti habari kipindi kizima alichohudumia serikali ya Kaunti hiyo.
Alimuacha nyuma mjane na mtoto wa kiume wa miaka miwili.