Skip to main content

Lazarus Chakwera Aibuka Mshindi wa Uchaguzi wa Malawi

N

Nyakundi Report

Newsroom 1 min read

This archive report was first published on 28 June 2020.

Lazarus Chakwera Aibuka Mshindi wa Uchaguzi wa Malawi

Malawi ni nchi ya kwanza Barani Afrika kufutilia mbali uchaguzi na kuandaa mwingine ambapo mgombea wa upinzani anashinda.

Chakwera alikuwa amepinga matokeo ya awali ya urais akidai uchaguzi ulikumbwa na udanganyifu mwingi.

Alipata ushindi wa kura 58.57% ya jumla ya kura zilizopigwa, ikiondoa aliyekuwa Rais wa nchi hiyo Peter Mutharika.

Chakwera anatarajiwa kuapishwa hii leo Jumapili, Juni 28, 2020, katika sherehe ambayo itahudhuriwa na viongozi mashuhuri.

Alisema ushindi wake ulikuwa wa demokrasia na haki, na moyo wake kwa sasa umejaa furaha tele.

Be the first to react

Support

Support this reporting

M-Pesa support recorded against this story.

Send support →

Stay close

Get the briefing

Major updates by email. No spam.

Get email brief →

Share

Save share card

Download a clean portrait card for sharing.

Save image →