Skip to main content

Mahakama yamwachilia huru jamaa aliyeingia Ikulu bila idhini

N

Nyakundi Report

Newsroom 1 min read

This archive report was first published on 27 June 2020.

Mnamo Juni 19, 2020, jamaa aliyengia Ikulu bila idhini ameachiliwa huru na mahakama baada ya kupewa matibabu ya dharura kwa matatizo ya kiakili.

Luqman Ali Mahmmoud, mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Kilimo na Teknolojia (JKUAT), alishtakiwa kwa kuingia Ikulu kwa nguvu na kukataa kukaguliwa.

Alipewa matibabu ya dharura kwa matatizo ya kiakili na kisha amechuliwa huru na mahakama.

Alionywa kwa kosa hilo, lakini alipewa fursa ya kurekebisha na kufanya maamuzi sahihi.

Ikulu ya Nairobi ni mojawapo ya maeneo ambayo yako chini ya ulinzi mkali.

Luqman Ali Mahmmoud ni mtu wa pili kwahi kujaribu kuingia Ikulu kwa nguvu, baada ya mwanafunzi wa JKUAT, Brian Bera, kujihami kwa kisu na kuingia eneo hilo mnamo 2019.

Be the first to react

Support

Support this reporting

M-Pesa support recorded against this story.

Send support →

Stay close

Get the briefing

Major updates by email. No spam.

Get email brief →

Share

Save share card

Download a clean portrait card for sharing.

Save image →