This archive report was first published on 25 June 2020.
Mbunge wa Sirisia John Waluke amekamuliwa kifungo cha miaka saba baada ya mahakama kumpiga faini kutokana na hatia aliyopatikana nayo.
Waluke pamoja na washtakiwa wenzake walitakiwa kulipa faini kubwa ya KSh 594M ambayo ni mara kadhaa ya fedha ambapo shirika la nafaka la NCPB lilipoteza.
Idadi ya fedha iliyopotea ni kubwa sana, na kama Waluke atakosa kulipa faini hiyo, basi atafungwa gerezani na kuhudumu kifungo cha miaka saba.
Waluke aliponea kifungo hilo Juni 25, 2020, baada ya mahakama kumpiga faini.