Skip to main content

Wakenya mitandaoni wameliwaza wanahabari 100 waliofutwa kazi K24

N

Nyakundi Report

Newsroom 1 min read

This archive report was first published on 25 June 2020.

Wakenya mitandaoni wameliwaza wanahabari 100 waliofutwa kazi K24, shirika la Media Max linalomilikiwa na familia ya Rais Uhuru Kenyatta mapema wiki hii.

Wanahabari Joab Mwaura na mkewe Nancy Onyancha, wafanyakazi wa kampuni hiyo, walikuwa miongoni mwa wanahabari waliopigwa kalamu.

Wanahabari hao wamekuwa na jumbe za kutia moyo kutoka kwa mashabiki wao, wanaotia moyo kila la heri na kuwatia moyo kuwa mambo makubwa yanakuja mbele yao na hawapaswi kukata tamaa.

Moja wa mashabiki wao alielezea jinsi alivyofutwa kazi mara kadhaa lakini anamshukuru Mungu kwa sababu alikuwa akimfungilia njia kila mara ya kupata kazi nyingine.

TUKO.co.ke iliweza kukusanya baadhi ya jumbe kutoka kwa mashabiki wao, na kwa kweli ni za kutia moyo.

Be the first to react

Support

Support this reporting

M-Pesa support recorded against this story.

Send support →

Stay close

Get the briefing

Major updates by email. No spam.

Get email brief →

Share

Save share card

Download a clean portrait card for sharing.

Save image →