This archive report was first published on 23 June 2020.
Barobaro mmoja katika eneo la Kamukuywa alionywa vikali baada ya kubainika haja yake ni kupata mlo tu.
Alipofika katika matanga ya jamaa mmoja aliyekuwa mashuhuri kijijini, alikutana na walinzi waliokuwa wakimkagua kila aliyefika katika matanga hayo kabla ya kuingia bomani.
Alipofika zamu yake, walinzi waligundua jamaa alikuwa amebeba vifa vya mlo ndani ya begi lake na ndiposa papo hapo akafurushwa.
Alipofurushwa, barobaro anadaiwa alikuwa akifululiza hadi jikoni kwa kuwa alijua kila palipo na msiba hapakosi mlo.
Alipofika matangani, barobaro anasemekana alikuwa hakosi matangani na kila apokwenda alibeba mkoba wake uliokuwa na avocado, kijiko, sahani, kikombe na blanketi.
Alipofika katika matanga ya jamaa mmoja aliyekuwa mashuhuri kijijini, alikutana na walinzi waliokuwa wakimkagua kila aliyefika katika matanga hayo kabla ya kuingia bomani.
Source: UGC