Skip to main content

Mjane aliye mhimili muhimu wa wajane na mayatima

N

Nyakundi Report

Newsroom 1 min read

This archive report was first published on 23 June 2020.

Na kufikia umri wa miaka 53, Rose Ndunge Mutiga, mama wa watoto watatu, ameibuka msaidizi mkuu wa wajane na mayatima baada ya kupata afueni.

Alifunga pingu za maisha mnamo 1996 kupitia harusi ya kanisa na mumewe alikuwa mhubiri. Wawili hao walihakikisha watoto wao wanakua kwa msingi wa kufuata maadili bora.

Alipata afueni baada ya mume wake kufa mnamo 2008, Rose alikumbwa na majeraha ya moyo na kufanya maisha yake kuwa shubiri.

Alirejea jijini Nairobi na wanawe mnamo 2010 na kuanzisha upya maisha, na mwaka 2015 alianzisha shirika lisilo la kiserikali, Bethel Widows & Orphans C.B.O, ambalo linafaa kwa wajane na mayatima Nairobi.

Shirika hilo linafaa kwa wajane na mayatima kupata wafadhili, elimu, na mahitaji ya kimsingi.

Na kufikia sasa, Rose anasaidia wajane na mayatima kupata mikopo ya serikali kama vile Uwezo Fund kupitia Bethel Widow and Orphan C.B.O, na pia kuwawezesha kuanzisha biashara na kuiimarisha.

Be the first to react

Support

Support this reporting

M-Pesa support recorded against this story.

Send support →

Stay close

Get the briefing

Major updates by email. No spam.

Get email brief →

Share

Save share card

Download a clean portrait card for sharing.

Save image →