Skip to main content

Mbunge John Waluke Azuiliwa na Polisi Kufuatia Shtuma za Ufisadi

N

Nyakundi Report

Newsroom 1 min read

This archive report was first published on 22 June 2020.

Polisi wameazuiliwa Mbunge wa Sirisia John Waluke kufuatia shtuma za ufisadi ambazo zilifanywa kwa kupokea KSh 297 milioni kwa njia ya ulaghai kutoka kwa Bodi ya nafaka na mazao nchini, NCPB.

Waluke atazuiliwa katika kituo cha polisi cha Kileleshwa hadi Juni 25, ambapo kesi dhidi yake itasikizwa.

Waluke anazuiliwa pamoja na mamake waziri wa zamani wa mazingira Judy Wakhungu ambaye ni mfanya biashara mkubwa jijini Nairobi.

Waluke alipatikana bila hatia kwa makosa mawili ya kughushi stakabadhi za kupokea fedha hizo.

Be the first to react

Support

Support this reporting

M-Pesa support recorded against this story.

Send support →

Stay close

Get the briefing

Major updates by email. No spam.

Get email brief →

Share

Save share card

Download a clean portrait card for sharing.

Save image →