Skip to main content

Uhuru Kenyatta Afichua Kuwa Hana Virus vya Corona

N

Nyakundi Report

Newsroom 1 min read

This archive report was first published on 22 June 2020.

Uhuru Kenyatta Afichua Kuwa Hana Virus vya Corona

Rais Uhuru Kenyatta alipokea matokeo yake ya vipimo vya virusi vya corona mnamo Jumatatu, Juni 22, asubuhi. Matokeo hayo yalionyesha kuwa Rais Uhuru hana virusi vya corona.

Alipokuwa akiwasili katika mkutano wa Jubilee KICC, Rais Uhuru alipokea matokeo yake ya vipimo vya virusi vya corona. Matokeo hayo yalionyesha kuwa Rais Uhuru hana virusi vya corona.

Alitaja kwa Wabunge wazingatie masharti yote ya serikali katika kukabili ugonjwa huo. Alisema hii wakati wa hotuba yake katika mkutano huo.

Wafanyakazi wanne wa Ikulu waliathibitishwa kuwa na virusi vya Corona na kutengwa katika hospitali ya chuo kikuu cha mafunzo cha Kenyatta. Ikulu ya Nairobi imekuwa ikiwafanyia vipimo wafanyakazi wake kila baada ya saa 24 kama mojawapo ya mbinu za kudhibiti maambukizi ya virusi vya COVID-19.

Watu wawili pia wameripotiwa kufariki kutokana na maambukizi hayo chini ya saa 24. Kaunti za Nairobi na Mombasa zinaendelea kurekodi idadi ya juu ya maambukizi.

Idadi ya juu ya maambukizi ya virusi vya corona ilikuwa 4738 kufikia Jumapili, Juni 21. Nairobi iko na visa 157 huku kaunti ya Mombasa nayo ikiwa na visa 43 na baadhi ya walioambukizwa ni mtoto wa miezi saba na mzee wa miaka 90.

Be the first to react

Support

Support this reporting

M-Pesa support recorded against this story.

Send support →

Stay close

Get the briefing

Major updates by email. No spam.

Get email brief →

Share

Save share card

Download a clean portrait card for sharing.

Save image →