This archive report was first published on 21 June 2020.
Alhamisi Juni 18, 2020, dereva aliyepatwa na COVID-19 mnamo Juni 7, 2020, alikamatwa akiwasafirisha waombolezaji 15 Homabay.
Waombelezaji hao 15 walipekwa katika kituo cha karantini cha Hospitali ya Rufaa ya Narok.
Alipatikana na COVID-19 mnamo Juni 7, 2020, akiwa kazini mjini Kisumu, dereva huyo alitoweka matokeo hayo.
“Dereva huyo alipatikana na COVID-19 mnamo Juni 7, 2020, akiwa kazini, lakini kutolewa kwa matokeo hayo dereva huyo alitoweka,” alisema Kamanda wa Kaunti ya Narok, Fredrick Siundu.
Waombelezaji hao 15 walipekwa katika kituo cha karantini cha Hospitali ya Rufaa ya Narok huku dereva huyo akirejeshwa Nairobi kutengwa.
“Nilipata ripoti kutoka kwa wenzangu kuwa dereva huyo alikuwa safarini kuelekea Homa Bay akipitia barabara kuu ya Maai Mahiu – Narok. Tulikuwa tumeshuku kuwa huenda atasimama Narok kwa chakula na hivyo wakati alisimama, tulimansa,” aliongezea Siundu.