Skip to main content

Vijana 34 Wakamatwa Pamoja na Wasichana 4, Kondomu Zapatikana

N

Nyakundi Report

Newsroom 1 min read

This archive report was first published on 20 June 2020.

Polisi Wamematisha Vijana 38 Wakishiriki Ufuska

Polisi kaunti ya Kisii wamewatia nguvuni vijana 38 waliopatikana kwenye sherehe ya kujivinjari bila kuzingatia maagizo kuhusu kukabili covid-19 eneo la Ogembo, Juni 20, 2020.

Waliokamatwa ni wavulana 34 na wasichana wanne baadhi yao wakiwa walevi kiasi cha haja.

Polisi waliwahi kusema kuwa waliokamatwa watapelekwa katika karantini kwa sababu waliingia kwenye sherehe hiyo bila kuzingatia maagizo ya polisi.

Wanafunzi wamekuwa nyumbani tangu mwezi Machi shule zilipofungwa kuhusiana na covid-19.

Wanafunzi wamekuwa nyumbani tangu mwezi Machi shule zilipofungwa kuhusiana na covid-19.

Be the first to react

Support

Support this reporting

M-Pesa support recorded against this story.

Send support →

Stay close

Get the briefing

Major updates by email. No spam.

Get email brief →

Share

Save share card

Download a clean portrait card for sharing.

Save image →