This archive report was first published on 19 June 2020.
Polisi walisema kuwa wanawake hao ni miongoni mwa genge sugu la wahalifu ambao wamekuwa wakipora bidhaa katika maeneo ya Magharibi na Nyanza.
Wanawake hao wanne walinaswa Jumatano, Juni 19, ndani duka la Peshmart wakiwa wameficha bidhaa za kuibwa katikati ya miguu yao.
Wanawake hao walionekana wakiiba bidhaa na kuziweka katikati ya miguu wakati wa kukamatwa.
Wanawake hao walikuwa wakiiba bidhaa katika maduka ya Frankmart na Khetias ya maeneo ya Busia kabla ya kukamatwa.
Uchunguzi zaidi unakiendelea ili kubainisha uhalifu huo.
Wanawake hao wanne walikuwa wakiiba bidhaa katika maduka ya jumla katika kaunti ya Busia.
Wanawake hao wanne walikuwa wakiiba bidhaa katika maduka ya jumla katika kaunti ya Busia.