This archive report was first published on 19 June 2020.
Kituo cha Habari cha Nyakundi, tunapata habari kwamba mahakama ya rufaa ya Kenya imeagiza kesi ya kuchaguliwa kwa mbunge wa Gatundu Kaskazini Wanjiku Kibe iskizwe upya.
Uamuzi huu ulikuwa unatokana na uamuzi wa mahakama ya juu ambao ulitupa nje kesi hiyo na kuagiza iskizwe upya ndani ya miezi sita.
Aliyekuwa mbunge wa eneo hilo Clement Waibara amekuwa akipinga kuchaguliwa kwa Wanjiku Kibe akisema alipogombea wadhifa huo hakuwa amejiuzulu kama MCA mteule.
Waibara amekuwa akishikilia kuwa matakwa ya kikatiba hayakuafikiwa na mgombea huyo kama inavyotakikana.
Wanjiku Kibe amekuwa na masaibu ikiwamo ushindi wake kutupiliwa mbali na mahakama kabla ya tena uamuzi huo kufutiliwa na mahakama ya juu.