Kidosho azirai kumfumania sponsa wake akimbusu mamake

N

Nyakundi Report

Newsroom 1 min read

Primary source Kenyan Digest archive

This archive report was first published on 17 September 2019.

Demu kutoka Kilifi mjini alipompata sponsa wake akimbusu mama yake katika kituo cha kilabu kimoja.

Alipokuwa katika pitapita na wenzake, walipomuona demu alishughulikiwa na msamaria mwema wakati alipokuwa ameliegesha gari lake.

Alipokuwa ameliegesha gari lake, demu alipiga kamsa ya kutisha kabla ya kuishiwa ngumvu na kuanguka chini.

Marafiki zake walimfanyia huduma ya kwanza papo hapo jambo ambalo liliwavutia wapita njia ambao walikusanyika hapo kulisha macho.

Walipowasili mahali hapo wote walipigwa na butwa kuona kwamba walimfahamu demu ambaye alikuwa akishughulikiwa na msamaria mwema.

Next read

Sports Fund CEO Nuh Ibrahim Exposed Over Refusal to Repay Ksh 2 Million Debt as Protest Looms at Talanta Plaza

24 July 2026 · 4 min read

Sports Fund CEO Nuh Ibrahim has been exposed over his refusal to repay a KSh2 million debt to a young businessman, with a peaceful...