Skip to main content

Mbunge Mteule Maina Kamanda Afurushwa Kanisani Nanyuki

N

Nyakundi Report

Newsroom 1 min read

This archive report was first published on 15 September 2019.

Alhamisi, Septemba 15, 2019, Mbunge mteule Maina Kamanda alijipata pabaya alipofurushwa kutoka katika kanisa la AIPCA Nanyuki.

Alipofurushwa, Kamanda alishutumiwa kueneza siasa mbaya, na baadhi ya washirika waliokuwa na ghadhabu walikataa kuwepo kwake kwenye kanisa hilo.

Washirika hao walimtaka Kamanda kuondoka mara moja, na kundi hilo lilianza kushiriki nyimbo za kumkejeli mbunge huyo.

Maafisa wa polisi walitumika kukabiliana na hali hiyo, na kufanya kikosi cha maafisa kuitwa ili kukabili hali.

Habari Nyingine: Raila aweka mikakati ili kuepuka aibu Kibra

Be the first to react

Support

Support this reporting

M-Pesa support recorded against this story.

Send support →

Stay close

Get the briefing

Major updates by email. No spam.

Get email brief →

Share

Save share card

Download a clean portrait card for sharing.

Save image →