Waranti ya kukamatwa kwa mchunguzi binafsi Jane Mugo yaondolewa, atakiwa kufika kortini

N

Nyakundi Report

Newsroom 1 min read

Primary source Kenyan Digest archive

This archive report was first published on 14 September 2019.

Waranti ya kukamatwa kwa mchunguzi binafsi Jane Mugo ilikuwa imetolewa na ofisi ya Mkrugenzi wa Uchungizi wa Jinai (DCI) Septemba 11.

Waranti hii ilikuwa inahusiana na mashtaka ya wizi wa mabavu, kujifanya kuwa mtu asiye na kutishia kuua.

Alipohojiwa na Citizen TV Ijumaa, Septemba 12 baada ya idhini ya kukamatwa kwake kutolewa, Jane Mugo alisema yuko radhi kwenda kortini na kufichua kuwa alikuwa amelazwa hospitalini.

Alisema hajawahi kuitwa katika kituo chochote cha polisi ama kufahamishwa kuhusu kesi yoyote inayomkabili.

Waranti ya kukamatwa kwa Mugo ilikuwa imeondolewa, lakini atakiwa kufika kortini mnamo Jumatano, Septemba 18.

Next read

Sports Fund CEO Nuh Ibrahim Exposed Over Refusal to Repay Ksh 2 Million Debt as Protest Looms at Talanta Plaza

24 July 2026 · 4 min read

Sports Fund CEO Nuh Ibrahim has been exposed over his refusal to repay a KSh2 million debt to a young businessman, with a peaceful...