Skip to main content

Kipusa Azimia Akimuomba Mume wa Mtu Penzi

N

Nyakundi Report

Newsroom 1 min read

This archive report was first published on 13 September 2019.

Kipusa Azimia Akimuomba Mume wa Mtu Penzi

Kituo cha Habari cha Nyakundi, September 13, 2019 - Kipusa ilishuhudiwa akimuomba mume wa mtu penzi baada ya kipusa kudondoka na kupoteza fahamu akiomba penzi.

Alipoteza fahamu na kuanguka chini ghafla baada ya jamaa kumwarifu kwamba alikuwa na mke tayari.

Alipofika katika eneo la kibiashara la jamaa huyo, alitambulika kama Mwanamkwetu ambaye alimkaribisha vyema kama mteja wa kawaida asijue nia yake.

“Alipofika alinikuta nikiwa na mke wangu eneo la biashara, nadhani hamfahamu, nilipomkaribisha kibiashara akaanza kuniambia kuwa ananipenda tangu siku nyingi na kwamba alikuwa anahitaji tuwe wapenzi,” jamaa alisema.

Aligutushwa na ujasiri wa kipusa huyo kwani kulingana naye sio jambo la kawaida kwa mwanamke kumtongoza mwanamume.

Alionekana mlevi na alipomuuliza ni kwa nini alikuwa amebugia, alimuarifu sababu yake ilikuwa ni apate ujasiri wa kumfungulia roho.

Alikuwa tayari ameoa na hana haja na kuwa na uhusiano naye.

Alipoteza ujasiri wake na kuzimia papo hapo baada ya jibu lilimvunja moyo kipusa.

Be the first to react

Support

Support this reporting

M-Pesa support recorded against this story.

Send support →

Stay close

Get the briefing

Major updates by email. No spam.

Get email brief →

Share

Save share card

Download a clean portrait card for sharing.

Save image →