Mbinu ya Kipekee ya Kuuza Maji ya Chupa: Jijani, 23, Kununua Suti ili Kuvutia Wateja

N

Nyakundi Report

Newsroom 1 min read

Primary source Kenyan Digest archive

This archive report was first published on 2 September 2019.

Michael Iloduba Chukwuebuka, mchuuzi wa maji ya chupa wa miaka 23, ameamua kubadilisha dhana mbaya miongoni mwa vijana nchini Nigeria.

Chukwuebuka, ambaye anajulikana kwa kazi yake ya kuuza maji ya chupa na karatasi za plastiki, ameonyesha kuwa ni kijana jasiri na kusema kuna heshima katika kazi yake.

Alipata umri wa miaka 24, Chukwuebuka aliamua kujikimu maisha yake kwa kuuza maji ya chupa na karatasi za plastiki, ambayo sasa imemfanya kuwa maarufu kwa kuwa baadhi ya watu wanamfuata mtandaoni na wanapata mawili matatu kuhusiana na biashara hiyo.

Chukwuebuka anajivunia kazi yake na cha manufaa zaidi ni pesa anazopata mwisho wa siku baada ya kupita miongoni mwa magari kuchuuza.

Alipata umri wa miaka 24, Chukwuebuka aliamua kujikimu maisha yake kwa kuuza maji ya chupa na karatasi za plastiki, ambayo sasa imemfanya kuwa maarufu kwa kuwa baadhi ya watu wanamfuata mtandaoni na wanapata mawili matatu kuhusiana na biashara hiyo.

Next read

Sports Fund CEO Nuh Ibrahim Exposed Over Refusal to Repay Ksh 2 Million Debt as Protest Looms at Talanta Plaza

24 July 2026 · 4 min read

Sports Fund CEO Nuh Ibrahim has been exposed over his refusal to repay a KSh2 million debt to a young businessman, with a peaceful...