Mke wa Gavana Amtunuku Ajuza Nyumba

N

Nyakundi Report

Newsroom 1 min read

Agosti 28, 2019, ilikuwa siku ya furaha kwa Sahilu, ajuza ambaye alikuwa hana makazi. Mkewe gavana wa Kogi, Rashida Yahaya Bello, alimnunulia nyumba yenye vyumba viwili, pamoja na msaada wa chakula na mavazi.

Aliahidi kuendelea kuwapa msaada wanaopitia hali ngumu katika maisha, hasa wanawake na watoto, kwa kuhakikisha wanapokea huduma bora za matibabu na kuimarisha hali zao za afya.

Wakati uo huo, alimshukuru mkewe gavana kwa ukarimu wake na kumuomba Mungu ailinde familia yake.

Ukarimu wa Rashida Bello ni wa kujulikana, kwani ameonesha kuwa anafaa wale ambao hawajiwezi katika jamii. Hatua yake ya kutunuku nyumba kwa Sahilu ni mfano wa ahadi ya serikali iliyo uongozini ya kuwasaidia wale ambao hawajiwezi katika jamii.

Next read

Staff Expose Toxic Working Conditions at Tha Nickolee Hotel in Nanyuki

30 July 2026 · 3 min read

Staff at Nickolee Hotel in Nanyuki have exposed a toxic work environment, accusing management of unlawful salary deductions, 15-hour...