Chris Smalling Imesajiliwa Kwa Mkopo Kwa AS Roma

N

Nyakundi Report

Newsroom 1 min read

Primary source Kenyan Digest archive

This archive report was first published on 29 August 2019.

Chris Smalling, beki wa Manchester United, anaripotiwa kukaribia kutia saini ya mkataba wa mkopo na AS Roma.

Uhamisho huu unaweza kuwa na uwezekano mkubwa wa kuwa siku moja baada ya Alexis Sanchez kuondoka kwa mkopo kuelekea Inter Milan.

Smalling anakumbana na hatma finyu Man United baada ya kulazimishwa kuwa kwenye benchi katika mechi tatu za Ligi Kuu msimu huu mpya.

Wakati huo huo, United wanasemekana kukataa ofa ya mkopo kwa Smalling kutoka Everton licha ya kuisaidia kikosi hicho mara saba kwenye safu ya ulinzi.

Endapo Smalling atakamilisha uhamisho wake kuelekea Italy, basi atakuwa mchezaji wa tatu wa Man United kujiunga na klabu ya Serie A msimu huu.

Next read

Sports Fund CEO Nuh Ibrahim Exposed Over Refusal to Repay Ksh 2 Million Debt as Protest Looms at Talanta Plaza

24 July 2026 · 4 min read

Sports Fund CEO Nuh Ibrahim has been exposed over his refusal to repay a KSh2 million debt to a young businessman, with a peaceful...