Skip to main content

Afisa wa Sensa Ashambuliwa na Kubakwa: Polisi Wanasaka Genge la Majambazi

N

Nyakundi Report

Newsroom 1 min read

This archive report was first published on 25 August 2019.

Polisi Kaunti ya Kisumu wanasaka genge la majambazi ambao walishambulia afisa mmoja wa sensa na kumbaka.

Tukio hilo lilifanyika eneo la Maseno Jumamosi Agosti 24, 2019, baada ya afisa huyo kushukishwa kwenye lango lake na mdosi wake majira ya usiku.

Alipokuwa akizindua zoezi la kuwahesabu watu, Rais Uhuru Kenyatta alisema usalama wa wote watakaohusika umeshughulikiwa vilivyo.

Shughuli za kuwahesabu watu zilianza Jumamosi, Agosti 24, 2019, huku Wakenya wakitakiwa kushirikiana na wanaohusika kwenye zoezi hilo.

Kamanda wa polisi eneo la Nyanza Vincent Makokha alisema mdosi wa afisa huyo tayari amesimamishwa kazi kutokana na utepetevu.

Maafisa wa polisi kwenye eneo hilo ambao walikuwa wametakiwa kutoa usalama kwa maafisa wa sensa wataelezea walipokuwa tukio hilo likifanyika.

Be the first to react

Support

Support this reporting

M-Pesa support recorded against this story.

Send support →

Stay close

Get the briefing

Major updates by email. No spam.

Get email brief →

Share

Save share card

Download a clean portrait card for sharing.

Save image →