This archive report was first published on 24 August 2019.
Wakenya Wamwingilia Boni Khalwale Kwa Kujigamba Baada ya DP Ruto Kutoa Mchango wa Milioni ya Pesa ¶
Wakenya walimiminika mitandaoni kumkashifu Boni Khalwale baada ya DP William Ruto kutoa mchango wa milioni ya pesa katika harambee za kaunti ya Vihiga.
Seneta wa zamani wa Kakamega alipokea mchango wa KSh 1 milioni na KSh 500,000 kwa shule za msingi za Mumboha na Mulwakhi mtawalia.
Aliongeza kwamba Ruto alihudhuria na kuwaongoza wageni wengine katika kuchanga KSh 4.4 milioni ili kuviiunua vikundi vya akina mama.
Alipokea mchango huo katika hafla mbili za harambee za kaunti ya Vihiga.
Wakenya walio na hamaki walimiminika kumkashifu Khalwale kwa kujigamba kufuatia michango ya Ruto.