Skip to main content

Mchungaji wa Kanisa aliponea Kifo baada ya Kufumaniwa na Majirani

N

Nyakundi Report

Newsroom 1 min read

This archive report was first published on 23 August 2019.

Kituneni, Machakos, 23 Agosti 2019 - Mchungaji wa Kanisa aliponea kifo baada ya kufumaniwa na majirani wake wakifanya vituko vya uchawi.

Aliponea kifo hilo baada ya majirani wake kumuwekea mtego na kumfumana akizunguka kiholela katika zizi la mifugo wake.

Alipokuwa mchungaji wa Kanisa, alikuwa na wasioaminifu kwa sababu waumini walimkana kufuatia mienendo yake.

Alipofumwa na majirani wake, alikuwa akiwafanyia uchawi mifungo wake na hata kuwalalamikia baadhi ya majirani zake.

Usiku mmoja, majirani waliamua kumuwekea mtego na siku ya kioja ilipowadia, walimfumania akizunguka kiholela katika zizi la mifugo wake huku akiropokwa maneno yasiyoeleweka.

Wanachama wa nyumba kumi walifika hapo na kumuokoa.

Be the first to react

Support

Support this reporting

M-Pesa support recorded against this story.

Send support →

Stay close

Get the briefing

Major updates by email. No spam.

Get email brief →

Share

Save share card

Download a clean portrait card for sharing.

Save image →