Mwanawe wa Mwanamuziki Bahati Aondolewa Hospitalini kama Mfalme na Magari ya Kifahari

N

Nyakundi Report

Newsroom 1 min read

Primary source Kenyan Digest archive

This archive report was first published on 22 August 2019.

Mwanawe wa Mwanamuziki Bahati Aondolewa Hospitalini kama Mfalme na Magari ya Kifahari

Mnamo siku ya Jumatano, Agosti 14, 2019, mtandao ulikuwa umewaka moto kufuatia kuzaliwa kwa mwanawe wa kiume wa mwanamuziki wa nyimbo za Injili, Majesty Bahati.

Baada ya kuwa hospitalini kwa wiki moja, malaika huyo hatimaye amepelekwa nyumbani, ambapo alionekana kukaribishwa duniani kama mfalme.

Alipewa shupavu wakati wa kipindi chote akiwa mjamzito na pia wakati wa kujifungua, na baba huyo wa watoto wanne alitoa picha ya uso wa mwanwe bila kusudia kwenye mtandao jamii.

Shabiki wa Bahati walikuwa wamejitokeza kwa wingi kupata fursa ya kuona sura ya mtoto huyo, na Diana Marua, mkewe, alikuwa akionekana kuwa mchovu lakini uso wake ulikuwa umejawa na furaha akitazama mapenzi ambayo mtoto wake wa wiki moja alionyeshwa muda mfupi tu baada ya kuzaliwa.

Next read

Sports Fund CEO Nuh Ibrahim Exposed Over Refusal to Repay Ksh 2 Million Debt as Protest Looms at Talanta Plaza

24 July 2026 · 4 min read

Sports Fund CEO Nuh Ibrahim has been exposed over his refusal to repay a KSh2 million debt to a young businessman, with a peaceful...