Skip to main content

Spika wa New Zealand anampakata mtoto wa mbunge wakati wa kikao

N

Nyakundi Report

Newsroom 1 min read

This archive report was first published on 21 August 2019.

Spika wa New Zealand anampakata mtoto wa mbunge wakati wa kikao

Spika wa New Zealand Trevor Mallard alimpakata mtoto wa mbunge Tamati Coffey wakati wa kikao cha bunge siku ya Jumatano, Agosti 21, mwaka wa 2019.

Mbunge wa Labour, Tamati Coffey, alikuwa amehudhuria kikao cha bunge huku akiandamana na mwanawe wa kiume Tutanekai Smith-Coffey, baada ya kurejea kutoka likizo la uzazi.

Spika Trevor Mallard alimpakata mtoto huyo ambaye alizaliwa mwezi Julai mwaka huo kupita kwa njia ya kiasili na mwenzake Tim Smith, huku akiongoza mjadala huo.

Spika huyo alikuwa akionyesha ujuzi wake wa kuwa baba huku akimnywesha malaika huyo maziwa aliyekuwa ametulia tuli mikononi mwake.

Spika Trevor Mallard, ambaye ni baba wa watoto watatu, amekuwa akionyesha uhusiano wake mzuri na watoto wachanga wa New Zealand.

Alipokuwa na umri wa miezi mitatu, mwezi Novemba mwaka 2017, alitumia kiti chake pamoja na mwanawe aliyekuwa Mbunge wa Labour Willow-Jean.

Kiti cha Spika hutumiwa na maafisa wakuu pekee lakini leo mgeni wa heshima atatumia kiti hiki pamoja nami. Hongera Tamati Coffey na Tim kwa kumuongeza mtu mwingine kwa familia yenyu.

Spika Trevor Mallard alikuwa akionyesha ujuzi wake wa kuwa baba huku akimnywesha malaika huyo maziwa aliyekuwa ametulia tuli mikononi mwake.

Be the first to react

Support

Support this reporting

M-Pesa support recorded against this story.

Send support →

Stay close

Get the briefing

Major updates by email. No spam.

Get email brief →

Share

Save share card

Download a clean portrait card for sharing.

Save image →