Molo: Kidosho Afyonza Hela za Jamaa na Kuhamia Ng'ambo

N

Nyakundi Report

Newsroom 1 min read

Primary source Kenyan Digest archive

This archive report was first published on 20 August 2019.

Alhamisi, kalameni mmoja wa Molo alishikwa na mshtuko wa moyo baada ya kuarifiwa kuwa mpenzi wake alikuwa amefanikiwa kupata viza na alipanga safari ya kwenda ng'ambo.

Penyenye zinaarifu kwamba, kalameni ambaye alikuwa mwalimu wa shule ya upili eneo hilo alikuwa amejitolea kumlipia kipusa karo hadi chuo kikuu kando na kumlipia mahari na kujitayarisha kufunga harusi pindi mwanadada atakapokamilisha kusoma.

Alipofaulu kupata viza, mwanadada alijitayarisha na kuondoka kisiri huku akimuarifu rafiki yake wa karibu kumuelezea mpenzi pindi tu ndege ilivyopaa.

Alipofaulu kupata viza, mwanadada alijitayarisha na kuondoka kisiri huku akimuarifu rafiki yake wa karibu kumuelezea mpenzi pindi tu ndege ilivyopaa.

Source: Tuko News

Next read

Sports Fund CEO Nuh Ibrahim Exposed Over Refusal to Repay Ksh 2 Million Debt as Protest Looms at Talanta Plaza

24 July 2026 · 4 min read

Sports Fund CEO Nuh Ibrahim has been exposed over his refusal to repay a KSh2 million debt to a young businessman, with a peaceful...