Picha za kufuraisha za maisha ya ubwanyenye anayoishi mdogo wake Victor Wanyama ▷ Kenya News

N

Nyakundi Report

Newsroom 1 min read

Primary source Kenyan Digest archive

This archive report was first published on 20 August 2019.

Wakati mtandao wa Instagram ulianzishwa miaka kadhaa iliyopita, watoto wa matajiri ulimwenguni wameutumia vyema zaidi kuonyesha maisha ya kifahari wanayoishi. Katika kuangazia watoto wa matajiri nchini Kenya katika Instagram, TUKO.co.ke imefaulu kuupata picha za Harry Wanyama, mdogo wa mchezaji staa wa timu ya soka ya Tottenham Hotspur, Victor Wanyama.

Harry ni kaka mdogo wa Victor Wanyama, mchezaji staa wa timu ya soka ya Tottenham Hotspur. Picha: UGC

Harry Wanyama anaishi maisha tofauti sana na wenzake. Ana magari ya bei ya juu zaidi, starehe za vinywaji ghali mno, na hakika huyu jamaa anaishi maisha ya kifahari amayo wengi wataishia kuyatamani tu.

Katika baadhi ya picha za mtandaoni ambazo TUKO.co.ke imefanikiwa kuzikuta, ni wazi kwamba Harry anaishi ulimwengu mwingine. Hapa ni baadhi ya picha hizo.

Harry Wanyama huendesha magari ya bei ya juu zaidi, ana starehe na mkwanja sio shida kwake. Hakika huyu jamaa anaishi maisha ya kifahari amayo wengi wataishia kuyatamani tu. Picha: UGC

Next read

Sports Fund CEO Nuh Ibrahim Exposed Over Refusal to Repay Ksh 2 Million Debt as Protest Looms at Talanta Plaza

24 July 2026 · 4 min read

Sports Fund CEO Nuh Ibrahim has been exposed over his refusal to repay a KSh2 million debt to a young businessman, with a peaceful...