Skip to main content

Mwanamuziki John De'Mathew Afariki Baada ya Kuhusika kwenye Ajali ya Barabarani

N

Nyakundi Report

Newsroom 2 min read

This archive report was first published on 19 August 2019.

Mwanamuziki John De'Mathew Afariki Baada ya Kuhusika kwenye Ajali ya Barabarani

John De'Mathew, mwanamuziki mashuhuri kutoka eneo la Mlima Kenya, amefariki baada ya kuhusika kwenye ajali ya barabarani. Hii ilikuwa kifo chake kama kuanguka kwa mti mnene ambapo wana wa ndege huyumba.

Tangia ripoti za kifo chake kupeperushwa Jumapili, Agosti 18 baada yake kuhusika kwenye ajali ya barabarani karibu na mkahawa wa Blue Post, mashabiki wake wamekuwa wakilia kuachwa na baba wao wa kimuziki.

De'Mathew alikuwa miongoni mwa wanamziki sugu sana kutoka eneo la kati. Huku akituma rambi rambi zake, mbunge wa Gatundu Kusini Moses Kuria alimtaja msanii huyo kama sio tu mwanamziki, bali alikuwa nabii wa jamii ya Wakikuyu pamoja na aliyekuwa muimbaji Joseph Kamaru na Muigai wa Njoroge.

"John hakuwa tuu msanii. Mimi nilimuuita nabii wa jamii ya Wakikuyu pamoja na aliyekuwa muimbaji Joseph Kamaru na Muigai wa Njoroge," Kuria alisema.

De'Mathew alikuwa na nyimbo nyingi ambazo ziliwabeba mashabiki wake sana. Kati ya nyimbo hizo, moja ilikuwa "Njata Yakwa" ambayo alishiriana na Sabina Chege na kuimba.

De'Mathew alikuwa na nyimbo nyingine ambazo ziliwasisimua mashabiki wake. Kati ya nyimbo hizo, moja ilikuwa "Ngoro Gitina" ambayo alikuwa anawasifu wote ambao walimsaidia kwenye safari yake ya kuwa mwanamziki.

De'Mathew alikuwa na nyimbo nyingine ambazo ziliwasisimua mashabiki wake. Kati ya nyimbo hizo, moja ilikuwa "Tucemanagia Bara" ambayo alikuwa anateta kuhusu mpenzi wake ambapo anadai amekuwa akimnyima penzi akiteta kuwa yeye ni mlevi.

De'Mathew alikuwa na nyimbo nyingine ambazo ziliwasisimua mashabiki wake. Kati ya nyimbo hizo, moja ilikuwa "Nguku ya Gukua" ambayo alikuwa anawasuta wale ambao huwa wanalalamika kila wakati haswa kwenye ndoa.

De'Mathew alikuwa na nyimbo nyingine ambazo ziliwasisimua mashabiki wake. Kati ya nyimbo hizo, moja ilikuwa "Nengereria Kane" ambayo alikuwa anateta kuhusu kuongezeka kwa pombe haramu ndani ya jamii ya Wakikuyu.

Be the first to react

Support

Support this reporting

M-Pesa support recorded against this story.

Send support →

Stay close

Get the briefing

Major updates by email. No spam.

Get email brief →

Share

Save share card

Download a clean portrait card for sharing.

Save image →