This archive report was first published on 15 August 2019.
Msimu mpya wa Ligi Kuu Uingereza ulianza rasmi siku ya Ijumaa, Agosti 9, na kuna makocha wanaotarajiwa kufutwa kazi msimu huu.
Wataalamu wa soka wanaamini kuwa meneja wa Manchester United, Ole Gunnar Solskjaer, atapangishwa virago na waajiri wake kabla ya kumenyana na Watford.
Frank Lampard wa Chelsea ndiye kocha anayeweza kuponea kwenye tundu ya sindano licha ya kuandikisha matokeo mabovu katika mechi yake ya ufunguzi ugani Goodison Park.
Wataalamu hao wa soka wanaamini kuwa kocha wa Man United atapangishwa virago na waajiri wake kabla ya kumenyana na Hornets.
Wataalamu hao wa soka wanaamini kuwa kocha wa Man United atapangishwa virago na waajiri wake kabla ya kumenyana na Hornets.