Mwanajeshi wa KDF aliyepoteza miguu akiwa katika vita Somalia akabidhiwa heshima kubwa

N

Nyakundi Report

Newsroom 1 min read

Primary source Kenyan Digest archive

This archive report was first published on 14 August 2019.

Wakati wa kuanzishwa kwa Mashindano ya Tamaduni ya Vikosi vya Jeshi Afrika Mashariki, mwanajeshi Edwin Wekoba alipoteza miguu yake akiwa Somalia alipokuwa akihudumu chini ya Vikosi vya Afrika vya Kuweka Amani, alibidhiwa heshima kubwa.

Waziri wa Ulinzi Rachel Omamo, majenerali wa vikosi vya jeshi vya nchi zinazoshiriki na mawaziri wa Ulinzi wa mataifa hayo walishuhudia kwa mshangao akiwasili kimtindomtindo Wekoba kuashiria mwanzo wa mashindano ya 2019.

Aliingia huku akifuatwa na timu ya soka ya Ulinzi ambayo ilikwangurana na timu ya wanajeshi wa Burundi.

Wekoba alipoteza miguu yake akiwa Somalia alipokuwa akihudumu chini ya Vikosi vya Afrika vya Kuweka Amani.

Wakiongozwa na Waziri wa Ulinzi Rachel Omamo, majenerali wa vikosi vya jeshi vya nchi zinazoshiriki na mawaziri wa Ulinzi wa mataifa hayo, walishuhudia kwa mshangao akiwasili kimtindomtindo Wekoba kuashiria mwanzo wa mashindano ya 2019.

Next read

Sports Fund CEO Nuh Ibrahim Exposed Over Refusal to Repay Ksh 2 Million Debt as Protest Looms at Talanta Plaza

24 July 2026 · 4 min read

Sports Fund CEO Nuh Ibrahim has been exposed over his refusal to repay a KSh2 million debt to a young businessman, with a peaceful...