This archive report was first published on 13 August 2019.
Ulaji wa Ugali na Bidhaa za Mahindi Husababisha Kiasi Kikubwa Kwa Kansari ya Mlango wa Tumbo la Uzazi Kenya ¶
Ulaji wa ugali na bidhaa za mahindi husababisha kiasi kikubwa kwa kansari ya mlango wa tumbo la uzazi Kenya, kulingana na utafiti uliofanywa katika Hospitali ya Mafunzo na Rufaa ya Moi (MTRH) mjini Eldoret. Utafiti huo ulikuwa uliopangwa kwa wanawake 86 waliofika kwa zoezi la kuchunguzwa ikiwa wana kansa hiyo katika MTRH mwaka wa 2015 na 2016.
Wanawake hao walikuwa wakifuatiliwa kwa karibu kwa miaka minne, na 49 kati yao (asilimia 57) walipatikana kuwa na sumu ya aflatoxin katika miili yao.
Utafiti huo ulitambua kuwa ulaji wa ugali na bidhaa za mahindi ni kichocheo kikubwa cha kansari ya mlango wa tumbo la uzazi Kenya. Sumu ya aflatoxin inafahamika kusababisha saratani ya ini na kuua celi za kulinda mwili kutokana na magonjwa.
Mapendekezo ya ripoti kufuatia utafiti huo ni kuepusha bidhaa za sumu ya aflatoxin katika masoko ili kuzuia kuenea sana kwa ugonjwa huo ambao sasa unakaribia kuwa janga la kitaifa.