This archive report was first published on 8 August 2019.
Waziri wa Usalama wa Ndani Fred Matiang'i amekutana na Waislamu wengi wakati wa Eid-al-Adha.
Waziri wa Usalama wa Ndani Fred Matiang'i ametangaza Jumatatu, Agosti 12, kuwa siku kuu ya Eid-ul-Adha. Hii iliongezwa kupitia notisi ya Gazeti rasmi la serikali, Alhamisi, Agosti 8, 2019.
Sherehe hizi huadhimishwa na Waislamu ulimwenguni kote, na ni za pili kuwa zaidi katika kalenda yao. Pia maadhimisho yake ni kuashiria mwisho wa Hajj, hafla ya kila mwaka inayofanyika Mecca.
Waislamu wakiadhimisha Eid-al-Adha wakati wa hafla ya zaani. Picha: Nation
Sherehe hizi ni moja ya mbili za maadhimisho ya Eid - Eid ul-Adha na Eid ul-Fitr - na inatambuliwa kuwa takatifu zaidi ya hizo mbili.
Kenya, Kadhi Mkuu ama Imam Khatib huongoza maombi na kusema Takbirs sita. Takbir ni hatua ya kuelekeza mikono miwili kwenye masikio na kusema “Allahu Akbar.”
READ ENGLISH VERSION