Kirinyaga: Baa zitafungwa saa kumi na mbili wakati wa zoezi la kuhesabu watu

N

Nyakundi Report

Newsroom 1 min read

Primary source Kenyan Digest archive

This archive report was first published on 7 August 2019.

Kirinyaga ni kaunti ambayo itakuwa na zoezi la kuhesabu watu la tarehe 24 Agosti. Ili kuhakikisha usalama na kufanya zoezi hilo liwe rahisi, Kamishna wa Kirinyaga Jim Njoka amesema baa zote zitafungwa saa kumi na mbili.

Alisema hili wakati wa kuzungumza na waandishi wa habari. Njoka alisema kwamba wazee watakuwa na nafasi ya kukata kiu wakati wa zoezi hilo, na kwamba watakuwa na maafisa wa usalama watakao andamana na maafisa wa kuhesabu watu.

Aliongeza kuwa watakuwa na vitambulisho vya kuhesabu watu ili kuhakikisha wanatambuliwa. Njoka alisema kwamba usalama utaimarishwa ili kuhakikisha hakuna yeyote anayetatiza zoezi hilo.

Alisema baa zote zitafungwa kufikia saa kumi na mbili ili kuruhusu zoezi la kuhesabu watu kuendelea. Picha: Daily Nation

Next read

Sports Fund CEO Nuh Ibrahim Exposed Over Refusal to Repay Ksh 2 Million Debt as Protest Looms at Talanta Plaza

24 July 2026 · 4 min read

Sports Fund CEO Nuh Ibrahim has been exposed over his refusal to repay a KSh2 million debt to a young businessman, with a peaceful...