This archive report was first published on 7 August 2019.
Video iliyopakuliwa mtandaoni na Jamal Gaddafi, na ambayo sasa inasambaa kwa kasi, inaonyesha mchungaji huyo akiwaonya wanawake dhidi ya kuvalia nguo za kubana na zilizoongezwa shepu wanapokuja kanisani.
Ng'ang'a, mchungaji wa Neno Evangelism, anasikika akiwaonya wanawake dhidi ya kuvalia nguo za kubana na zilizoongezwa shepu wanapokuja kanisani.
Alisema, 'Watu wamekosa madhabahu, dhabihu, wamekosa sheria….unaweza vaa vileunataka. Unaagalia kwa Facebook unaona wanawake wamejichorachora, unaenda unajichora.'
Ng'ang'a anasema wanawake wanaovalia nguo za shepu ni 'malaya wa kiroho' na 'mawakala washetani'. Vilevile, Ng'ang'a alisema yeye pia anasumbuliwa sana na wanawake wa aina hiyo na wanaovalia nguo za shepu.
Alisema, 'Hizi manyuma hivyo unaona wakonazo, si nyuma mwambie fungua nione…nguo zinashonwa hapo ndani na hio kitabaya…'
Ng'ang'a anadai wanawake wanaovalia nguo za kuchomoza makalio ni 'mawakala wa shetani'. Picha: Robin Njogu.
Aliwaita wanaovalia nguo za shepu kuwa 'malaya wa kiroho' na 'mawakala washetani'. Vilevile, Ng'ang'a alisema yeye pia anasumbuliwa sana na wanawake wa aina hiyo na wanaovalia nguo za shepu.